Projects

Baioanuwai za milimani na malengo endelevu ya kimaendeleo (SDGs)

Funders na taasisi za kusaidia

Funders

Mradi huu unafadhiliwa na ruzuku kutoka kwa Programu ya Uswisi ya Utafiti juu ya Masuala ya Maendeleo Duniani Swiss Programme for Research on Global Issues for Development (mpango wa r4d), mpango wa pamoja wa fedha kutoka Shirika la Uswisi la Maendeleo na Ushirikiano Swiss Agency for Development and Cooperation(SDC) na Swiss National Science Foundation the Swiss National Science Foundation (SNSF). Programu ya r4d inasaidia utafiti ulio na lengo la kutatua matatizo ya kimataifa kwa kuzingatia nchi za kipato cha chini cha maendeleo, kipato cha chini na cha kati.