Mountain biodiversity and the SDGs

Baioanuwai za milimani na malengo endelevu ya kimaendeleo (SDGs)

Baioanuwai za milimani na malengo endelevu ya kimaendeleo: ujuzi kwa hatua za ufanisi na ushirikiano

Mradi huu wa miaka minne - kwa kushirikiana na washirika kutoka Tanzania, Bolivia, na Nepal - unalenga kutoa elimu inayofaa kwa fursa za usimamizi endelevu na uhifadhi wa baianuawai za milimani (SDG15.4) ambayo inakabiliana na ushindani wa mipango ya maendeleo endelevu, rasilimali chache, na miundo tata ya kiutawala.

Mawasilino
Davnah Payne
Tel: ++41 (0)31 631 49 37
Email: gmba-projects@ips.unibe.ch